Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeendelea kufanya vizuri katika mashindano ya CECAFA ya Mataifa Matatu kwa kuichapa Senegal mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa Dimba la Black Rhinos, Karatu, Tanzania.
Timu ya Taifa ya Senegal walianza kupata bao mapema dakika ya 8’ kupitia kwa Mapathe Mbodji, na baadae Stars wakafanya ‘Comeback’ kupitia kWa Abdul Sopu 53’ (P) na Ibrahim Hamad Bacca 56’ akafunga goli la ushindi.

Ikumbukwe Tanzania imeshinda mechi zote mbili na kuondoka na Karatu na alama sita. Mchezo wa kwanza walishinda 1-0 dhidi ya Uganda.
Comments
Post a Comment